voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Huku tunapumbazwa na hukumu ya Assad isiyo na Tija na iliyopitwa na wakati.
Kumbe yoote ni ili kuingiza mitambo ya "Richmond" mpya kinyerezi/Tanesco.!
Hii ilipitishwa na kikao gani cha bunge?
Je, hii itakuwa suluhisho la kudumu la kukatika Umeme nchini?
Tuliambiwa Tatizo ni service ya mitambo, kutokana na uchakavu uliosababishwa na Magufuli!
Hatukuwahi kuambiwa kuna mitambo iliyokufa.
Wala hatujawahi kusikia ukweli toka kwa wasimamizi au mameneja wa Mabwawa, kuhusu kina cha Maji Mtera na Kihansi.
Isipokuwa tunasikia Porojo za Makamba na Maharage.
Sasa ghafla mmeibuka na ununuzi wa mitambo mipya eti kutoka Marekani.
Hii kitu mkae mkijua siku kikinuka nchi hii.
Hamtakaa msahau nyinyi na wajukuu zenu.
Mjue huu ukimya wa watanzania sio upole, bali kuna Roho mbaya sana itakuja kuzalishwa na ujinga wa viongozi wanaojichagua wenyewe na kuingia kutuibia mchana kweupe.
Ole wenu...
Inakuja siku isiyo na siku!
January itageuka Chanwa-wali.
Maharage yatageuka Shubiri.
You Can fool Some People Sometimes,But Not All The Time's.
Soma