Hukumu ya Babu Seya na wanae kufanyiwa mapitio Oktoba 30

Chivundu

Platinum Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
7,781
Reaction score
6,966
Nimesikia kupitia East Africa Radio kwamba hukumu ya Nguza Viking na wanae kupitiwa na jopo la majaji hapo oktoba 30/2013.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa utetezi ukiongozwa na Wakili Mabere Marando kuwasilisha maombi ya kupitiwa upya,kufuatia madai ya kuwepo kwa dosari nyingi za kisheria.
Source: East Africa radio
 
Mungu ampe uwezo mabere marando
katika kuipitia kesi hiyo ili haki ifanyike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…