Hukumu ya Chenge leo?

Hukumu ya Chenge leo?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Kutokana na kuahirishwa hairishwa kwa hukumu ya aliyekuwa Waziri katika serikali ya JK Bw. Andrew Chenge ihusuyo ajali ya barabarani na kuendesha gari bila ya bima kwa miaka kadhaa ikiwemo kujaribu kughushi bima hiyo................hatuna uhakika hata kama leo hukumu hiyo itatolewa...........................

mara ya mwisho hukumu hiyo ilipangwa kutolewa lakni ilishindikana baada ya mtuhumiwa ambaye yuko nje kwa dhamana kusemekana amekwenda kwenye mazishi na kutotoa habari mwenyewe na kuwaachia wanasheria wake kufanya kazi hiyo...............

Huku tukielekea siku kuu ya mwaka mpya yawezekana kabisa ikaahirishwa ili kumruhusu Mheshimiwa huyu kuila sikukuu hiyo bila ya zengwe lolote..................

leo jioni tutajua ukweli ulivyokuwa..........
 
Hukumu yake tayari ? japo nahisi haitazidi laki 5 !
 
Back
Top Bottom