King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia kwenu wana JF,
Jana ilitolewa hukumu iliyopelekea mawaziri wawili kutupwa jela na vile vile Jana bunge lilipitisha miswada miwili ya mafuta na gesi pamoja na uwazi na uwajibikaji.
Hii hukumu ni zuga tu kututoa kwenye mstari uliowaweka Serikali/Bunge kooni.
Watz tusiyumbishwe na spin doctors wa Victoria au DSTV, hawa kina Mramba na Yona mawakili wao wanakata rufaa watakaa VIP kwa mda then tukishasahau mambo ya mafuta na gesi wanashinda rufaa na tutakuwa tushapigwa goli la mkono.