Wengi wa wa Kenya waliwahi kuteta,,eti shida yetu ni kwamba hatukua tukifuata
,,,,,utaratibu.
Sasa,,tukaamua kutengeza katiba mpya na tukaweka mipaka na sasa wengi
wanateta,,,,,,,,,,,,,,,wenyewe.
Hii katiba iliundwa na wakenya na upande wa ODM,,ukaongoza.
Supreme Court,,,,,utaratibu ni,,,,baada ya kutangazwa
matokeo ya urais,,,yeyote mwenye malalamishi ya
aina yeyote,,,katika Katiba ya sasa ya Kenya,,2010,,,,
amepewa siku saba ( 7 days)kuakilisha malala
mishi yote katika supreme court of Kenya.
Nime sahihisha na wacha ni nukuu katiba ya Kenya,,,,
article 140,,
(1),,,
A person may file a petition in the supreme court to
challenge the election of the president-elect within
seven days after the date of the declaration of the
results of presidential election.
(2),
Within fourteen days after the filling of the petition
,,,,the supreme court shall hear and determine the petition
and its decision its decision shall be final.
So what happened???????Raila Odinga atangaza eti
atawasilisha kortini,,malalamishi, kupinga hayo matangazo ya
ushindi wa Uhuru Kenyatta,,siku hiyo hiyo,,ilikua
jumammosi(on Sartuday) lakini hawakufanya
mpaka sartuday ilio fuatia.
Nikiendelea na vile katiba inasema,,,ni kwamba,,,
baada ya malalamishi kuakilishwa SC after 14
days,,,, korti inaamua,,,,,,not less or more than
fourteen days.
Kwanini majaji walaumiwe na sio walioandika ama
kuweka hii mipaka,,,kama huu ushahidi ungelikubaliwa
siku hiyo,,,kesi ingendelea zaidi ya 14 days,,,kwa
nini,,, kujaribu kubadilisha,,rules in the middle of
the play,and introduce,,more confusions.
Sasa siku ya kesi,,,ambayo ilikua imetengwa iwe
ni siku mbili,,,(in those 14 days) na kila mtu Kenya
alikua anajua haya yote,,,,lakini CORD na mawakili,,,,,
wake,,waka amua kuakilisha more evidence on that day of
hearing,,,ambapo,,,,ni kinyume cha sheria.
Kwani,,sheria inasema,,,ni siku saba baada ya kutangazwa,,
uwe umewakililisha ushahidi wako wote,,,,na si kuingia
kortini siku ya kesi na vitabu vikubwa eti ni,,,,
more evidence.
Huo ndio utaratibu,,na hayo mengine,,,,nikutokujua,
ama propaganda ambazo zimepitwa na wakati.
Na,,upande wa CORD,,,nikujaribu kuvunja,,zile zile
sheria walikua wana zipighania.
Tutafuata utaratibu ambao tulijiletea,,,,sisi wenyewe,,,
na kufuata katiba.
Njia,,ni hiyo mmoja tuu and no two way route.
Kama mtu anataka kua akiwakilisha ushahidi,,siku
hiyo ya kesi,,,,basi,,,,badilisha katiba,,na wale
ambao hawana habari,,,,,,soma na kuelewa kabla
yakusema mambo ambayo,,,hauyajui.