Mkuu asante kwa kutupatia more organised copy. Ila tu kama ni kushindwa basi DPP na DCI kama hawakupanga haya yawe usanii basi kutakuwa na serious problem kwa staff wao!!! Kwa mtu anayefahamu sheria kwa makosa waliyofungulia kesi basi ni automatic Zombe asingekamatika!!!
Sasa basi, kisheria kwa kuwa inaruhusiwa kufungua kesi mpya dhidi yao na judge Masati aliwapa mwanga kabisa, je wako tayari kufungua kesi mpya ili upelelezi ufanyike tena including ule wa mwanzo au wanakimbizana na Rufaa ambayo kwa vigezo vile vile vya Judge Masati watashindwa??? Wasikurupuke maana wataendelea kutia aibu ya mwaka na confidence zao mahakamani zitashuka sana.