CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Pamoja nakuwa sijui sheria za misri zinasemaje, lakini naona kama ni vigumu kwa jaji ku-implicate mtu kama amesababisha vifo vya watu katika vurugu hizo. Mens rea na identification ya aliowahukumu kifo katika wingi kama ule wa watu na fujo, Jaji aliwezaje kukubali ushahidi wa mashahidi waliwezaje ku-prove vipi kuwa hao ndio waliohusika.