Hukumu ya Kunyongwa Inakiuka Katiba!

Hukumu ya Kunyongwa Inakiuka Katiba!

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Waku habari za leo. Nataka kuzungumzia hii hykumu ya kunyingwa asubuhi ya leo.
Ni kwamba Ibara ya 14 ya katiba ya Tanzania inatambua haki ya mtu kuishi na inahakikisha ulinzi wa raia. Hivto kuweka ukinzi kwa kila raia ili haki hiyo ya kuishi iweze kuwa halisi. Lakini cha ajabu mtu aliyeua sheria inamhukumu pia kuuawa. Hapa najua mtakuja kwa fujo kupingana na mimi. Lakini nirawapa mfano mtaelewa. Kwa maana ukiua na wewe uliyeua ukinyongwa serikali inakuwa imepoteza watu wawili! What is the logic here? Naona hamna logic yoyote bali hukumu inaipinga katiba na inaisababishia hasara serikali kwa kuwakosa watu wawili badala ya huyo mmoja aliyeuawa.
Sasa kumnyonga mtu aliyeua ule msingi wa haki ya kuishi katika ibara ya 14 unakuwa umelindwa au umevunjwa na serikali?
Tujadili....
 
Back
Top Bottom