Hukumu ya Mdude Nyagali hatma ni leo

Huyu mtu asokuwa na madili mnasema nae alionewa, mwacheni avune alicho panada kama mahakama itamwachia huru basi ni vema ila kama atakuwa na hatia ni vema pia maana kila mtu atavuna alicho panda.
Ahsante Ila utavuna wewe na wauwaji wenzio
 
Akifanikuwa kutoka aache matusi.....
au CDM hakuna kamati za maadili za chama...!?
manake mkiendekeza matusi mtatufanya tusiwaanini kama ni chama madhubuti
 
Huyu mtu asokuwa na madili mnasema nae alionewa, mwacheni avune alicho panada kama mahakama itamwachia huru basi ni vema ila kama atakuwa na hatia ni vema pia maana kila mtu atavuna alicho panda.
Huyo ni Mfungwa wa Kisiasa namba moja Tanzania.
 
mwachen afungwe, mlivyoshabikia sabaya kuwekwa ndan mkazan mazur??? kumbe na ninyi mnaumiaga eeh?? alafu huyo mdude mwnyewe hana akili kabisa, yaan mambo aliyokuwa akipinga hata hana uwezo nayo, kuanzia elimu, mpka nguvu za kuwa handle watu wenye nguvu serkalin, tofaut na wenzake wakina maria sarungi, fatuma karume, kigogo, zito kabwe, yaan huyo bwege alkuwa akifuata mkumbo tuu na uku n masikini choka mbaya, acha akanyee debe , siku nyingne ajifunze kuheshimu mamraka, ama kutoshindana na dora, pumbv kabisa fuungaaa huyo pimbi.....

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] ona wanachedomo watakavyonivamia kwa hasira awooo[emoji23][emoji23][emoji23].....hata mtu umuombee ni kazi buree msijichoshe, Mungu asikiliza maomb yakipumbav kama hayo.....ndy hivyo hakuna kinachobadirka[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Huyu jamaa anaweza kupigwa Mvua kwa sababu Kuu 2;

Mosi,Katika utetezi wake lazima kuweka shaka kuhusu namna alivyokamata na 20.4 gm za madawa ya kulevya hata kama hatumii, alipaswa kuonyesha mashaka/reasonable doubts jinsi gani hizo grams zilifika mikononi mwake,

Pili, katika utetezi wake ukishindwa kuonyesha mashaka ya search warrant hassa kwenye kipengele cha muda wa kufanya searching na uwepo wa Mwenyekiti wa Mtaa katika makazi yake. Criminla Procedure inasema kuwa muda wa kufanya upekuzi usizidi saa 1jioni na Mwisho, Mdude alipaswa kusema kuwa yeye hakuwapekua polisi kabla hawajaingia nyumbani kwake kama sheria inavyosema na alipaswa kusaini certificate of seizures kwamba hawakuwa na chochote.
Utetezi wa Makosa ya jinai unahitaji akili kubwa hasa kutoboatoboa ushahidi wa upande wa mashitaka, na katika mazingira ya sheria zetu, shaka kidogo tu inatosha kumwachia huru mtuhumiwa,

The burden of proof lies on the shoulders of the Prosecutor but any reasonable doubt created on defense side can set any accused free.
 
Amina mtu wa Mungu.
 
Anatoka leoo
 
Ahsante
 
Huyu mtu asokuwa na madili mnasema nae alionewa, mwacheni avune alicho panada kama mahakama itamwachia huru basi ni vema ila kama atakuwa na hatia ni vema pia maana kila mtu atavuna alicho panda.
tatizo hili genge la wahuni wa chadema ndiyo wanasema anaonewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…