R Rutakyamilwa JF-Expert Member Joined Feb 27, 2009 Posts 1,871 Reaction score 1,237 Jun 23, 2011 #1 Wadau walio Court of Appeal, , kama kuna mwenye nakala ya hukumu ya mfungwa msomi aliyeshinda juzi aturushie. (yule aliyesoma LLB akiwa gerezani)
Wadau walio Court of Appeal, , kama kuna mwenye nakala ya hukumu ya mfungwa msomi aliyeshinda juzi aturushie. (yule aliyesoma LLB akiwa gerezani)
Ng'wanza Madaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2008 Posts 2,268 Reaction score 335 Jun 23, 2011 #2 Hivi ni kweli kashinda? Kama kweli hongera zake na nina imani atakuwa raia mwema.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Jun 23, 2011 #3 Ng'wanza Madaso said: Hivi ni kweli kashinda? Kama kweli hongera zake na nina imani atakuwa raia mwema. Click to expand... Hilo halina shaka ni kweli ameshinda,lakini kinachotafutwa hapa ni nakala ya hukumu!!
Ng'wanza Madaso said: Hivi ni kweli kashinda? Kama kweli hongera zake na nina imani atakuwa raia mwema. Click to expand... Hilo halina shaka ni kweli ameshinda,lakini kinachotafutwa hapa ni nakala ya hukumu!!