The Dude JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 1,029 Reaction score 459 Aug 2, 2012 #1 Mahakama kuu kitengo cha kazi ilipanga kutoa rulling juu ya mgomo wa waalimu leo mnamo saa nane mchana. Sasa mwenye updates ama aliyeko mahakamani tunaomba atujuze kinachoendelea. Ahsanteni
Mahakama kuu kitengo cha kazi ilipanga kutoa rulling juu ya mgomo wa waalimu leo mnamo saa nane mchana. Sasa mwenye updates ama aliyeko mahakamani tunaomba atujuze kinachoendelea. Ahsanteni
The Dude JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 1,029 Reaction score 459 Aug 2, 2012 Thread starter #2 Oops kumbe kuna thread ya awali,mods naomba muifute hii basi nlikua sjaiona hiyo thread ya mwanzo kuhusu suala hilihili.
Oops kumbe kuna thread ya awali,mods naomba muifute hii basi nlikua sjaiona hiyo thread ya mwanzo kuhusu suala hilihili.