Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,871
- 1,237
Kwanini usikate rufaa mahaka ya rufaaHukumu ilisema Hakukusudia kuua! Mabomu ya machozi sheria yeke inasema huwa unapiga umbali gani toka kwenye target (for that matter waandamanaji) ? Yeye alikuwa umbali gani? Na nini kilimfanya alenge bunduki hiyo wakati anaona Mwangosi kazungukwa na hivyo hana uwezo wa kuleta madhara, hakuwa na silaha, KWA NINI ALIMLENGA?
HALAFU MHESHIMIWA JUDGE ANASEMA ALIUA BILA KUKUSUDIA! ETI KULIKUWA NA DEFECT KWENYE BUNDUKI, KWA NINI ALIMLENGA AT A NOSE- MOUTH DISTANCE WAKATI UTARATIBU UNAKATAZA KULENGA AT SUCH A SHORT DISTANCE. Ni maswali nimekuwa nikijiuliza!!
NOTE: SIKUSUDII KUINGILIA UHURU WA MAHAKAMA, NI JUST TO HAVE AN INQUISITIVE MIND!
Labda hufahamu kuwa kesi ile ni ya Jamuhuri hivyo mtu binafsi hawezi kukata rufaa. Ukakasi upo ktk hukumu ile, bila shaka upande wa mashitaka (Jamuhuri) na upande wa utetezi (serikali) wamepika hiyo hukumu. Ndio matunda ya kesi ya nyani inapoamuliwa Ngedere!Kwanini usikate rufaa mahaka ya rufaa
Kuna mapungufu katika hukumu ile, unaona kuwa hapa kulikuwa na kumwokoa mtu! Mungu ana kazi sana ya kuhukumu siku ya mwisho! Na asipokuwa macho mbinguni atakaa peke yake maana hakuna atakayeuona ufalme wa Mungu. Kama maaskofu wanapokea sadaka za ajabu ajabu, bila woga ( Rugemalilara saga) MhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhLabda hufahamu kuwa kesi ile ni ya Jamuhuri hivyo mtu binafsi hawezi kukata rufaa. Ukakasi upo ktk hukumu ile, bila shaka upande wa mashitaka (Jamuhuri) na upande wa utetezi (serikali) wamepika hiyo hukumu. Ndio matunda ya kesi ya nyani inapoamuliwa Ngedere!
hamna kifungu kinachompa mwanya mwananchi wa kawaida kukata rufaa kesi ya jumuhuri, hata kwa njia ya kutaka ufafanuzi wa kikatiba kama anaona sharia imepindishwaLabda hufahamu kuwa kesi ile ni ya Jamuhuri hivyo mtu binafsi hawezi kukata rufaa. Ukakasi upo ktk hukumu ile, bila shaka upande wa mashitaka (Jamuhuri) na upande wa utetezi (serikali) wamepika hiyo hukumu. Ndio matunda ya kesi ya nyani inapoamuliwa Ngedere!
MAWAZO YA MVULANA MWENYE UJAUZITOKwanini usikate rufaa mahaka ya rufaa
Good argument, asante umenisaidia kujibu maswali ya WASENGEnyajihamna kifungu kinachompa mwanya mwananchi wa kawaida kukata rufaa kesi ya jumuhuri, hata kwa njia ya kutaka ufafanuzi wa kikatiba kama anaona sharia imepindishwa
matusi ya nini chief,MAWAZO YA MVULANA MWENYE UJAUZITO
unanitusi then unajisahau unakuja kunisifia chini,Good argument, asante umenisaidia kujibu maswali ya WASENGE nyaji
MAWAZO YA MVULANA MWENYE UJAUZITO
Good argument, asante umenisaidia kujibu maswali ya WASENGE nyaji
matusi ya nini chief,
Nyie jamaa mmenichekesha sanaunanitusi then unajisahau unakuja kunisifia chini,
Sina hakika sana na hili labda wataalamu wa sheria watuambie tafadhali!hamna kifungu kinachompa mwanya mwananchi wa kawaida kukata rufaa kesi ya jumuhuri, hata kwa njia ya kutaka ufafanuzi wa kikatiba kama anaona sharia imepindishwa
Ulitaka sura yake upeleke wapi? Hukumu ishatoka acha atumikie adhabu yake.Najiuliza tu, kwanini mtuhumiwa alikuwa akifichwa USO? Tumeona kesi za maraisi na watawala mbalimbali, sura nilikuwa reviled hakukuwa na matangotango, Je huyu Polisi yuko special kiasi gani kuliko marais hata afichwe USO?
Je NI KWELI KAPELEKWA JELA? JE NANI ANA UHAKIKA? JE KAFUNGWA GEREZA GANI? JE NI NANI ANAMFAHAMU? KWANINI Polisi WALIRUHUSU NA WALIHUSUKA KWENYE KUFICHA SURA YA MTUHUMIWA, NINI LILIKUWA LENGO LAO ( Polisi )]
Labda hufahamu kuwa kesi ile ni ya Jamuhuri hivyo mtu binafsi hawezi kukata rufaa. Ukakasi upo ktk hukumu ile, bila shaka upande wa mashitaka (Jamuhuri) na upande wa utetezi (serikali) wamepika hiyo hukumu. Ndio matunda ya kesi ya nyani inapoamuliwa Ngedere!
tusi liko Wapi? mtoto wa girlfriend wako ni wako, mimba ya girlfriend wako ni yakomatusi ya nini chief,
aliyehukumiwa ni nani? lile shuka lililozingira sura ya mtuhumiwa?Ulitaka sura yake upeleke wapi? Hukumu ishatoka acha atumikie adhabu yake.