Hukumu ya Sheikh Ponda kusomwa Mei 9...

akiukumiwa tu basi hapo ndio tutaamini ccm wana udini kwa kosa gani hapo waislamu kueni makini na ukumu hii ya ccm

Sitegemei watu wa itikadi yako wayaone makosa. Kama mtu kuoa katoto ka miaka 9 halikuwa kosa, utaona kosa kwa mtu anayevuruga amani na kupora vitu vya watu?
 
By matumbo
bwana MAFILILI kwa habari nilizoziskia jana kitaani hii hukumu itasogezwa mbele,ikulu bado inalumbana ni maelekezo gani hasa ya kutoa kwa mahakama...

Sasa mbona huyu mtu kaongea hivi??

naona umepanic mpaka haujielewielewi....ponda ni mwizi wa matofali,nondo,cement na kokoto...apewe hukmu anayostaili
 
Sitegemei watu wa itikadi yako wayaone makosa. Kama mtu kuoa katoto ka miaka 9 halikuwa kosa, utaona kosa kwa mtu anayevuruga amani na kupora vitu vya watu?

Unatokea kubaya (kwenye masaburi) na unaelekea kubaya ! .....serukamba you !
 
naona umepanic mpaka haujielewielewi....ponda ni mwizi wa matofali,nondo,cement na kokoto...apewe hukmu anayostaili

Yule mwizi wa Richmond mlishamfunga !? ....au kwakuwa anawakatia kwenye harambee zenu za kujenga mahekalu !
 
Yule mwizi wa Richmond mlishamfunga !? ....au kwakuwa anawakatia kwenye harambee zenu za kujenga mahekalu !

tutamfunga tu....si swaiba wake wa msoga anamlinda,ata gaidi Fareed anayetuma watu waue watumishi wa Mungu ataenda kunyea debe soon.
 
.............itakuwaje iwapo ataendelea na kuugua maradhi yasopona leo wala kesho......
 
hukumu iliyokuwa itolewe leo dhidi ya shekhe issa ponda imeahirishwa mpaka mei 9..
Nikutokana na hakimu kuugua.

sio kuugua, bali wanataka kumfanyia dhuruma. Si sawa kumfanyia dhuruma.
 
Mbona huyo hakimu nimekutana naye kwenye foleni ya benki katikati ya jiji?
 
naona umepanic mpaka haujielewielewi....ponda ni mwizi wa matofali,nondo,cement na kokoto...apewe hukmu anayostaili

kesi kama hizo za kubambikiziwa ndizo zinawanyima cdm usingizi, ila nashangaa kwa ponda mnashangilia. Nami nitafurahi zaidi kama dhuruma hiyo na nyie itawaangukia. Dua mbaya ukimuombea mtu mwema ujue itakurudia tu
 
Yule mwizi wa Richmond mlishamfunga !? ....au kwakuwa anawakatia kwenye harambee zenu za kujenga mahekalu !

Watu nashangaa walivyokua na unafiki, mtu huyo huyo anaetuhumiwa wizi wa EPA(KAGODA) akituhumiwa kuchukua mali za waislamu anaonekana shujaa. Nashindwa kuelewa kama kweli watu wanachukia ufisadi kutoka miyoni mwao au ni maslahi binafsi ndo yanawasukuma.
 
Acha uzushi wewe!!!!!!

kwani haijasogezwa? Inaweza kuwa hana kosa na kwa kuwa walitaka kumwadhibu kwa kuwa anazuia kiwanja cha fadhili wa chama fulani basi atamaliza mwaka wake kwa kurushwa rushwa. Mtizamo wangu tu
 
Kwa kuongezea tu huwa najiuliza iwapo utawala wa JK utaruhusu kumpeleka sheikh huyu jela. Mwaka 2010 alifanya kampeni kubwa misikitini kuhamasisha Waisilamu wa mchague JK. Na hii haina siri kabisa.

Ngoja tuone.
 
Nadhani hajatendewa haki, hakimu kaenda iringa kufanya nini? Sio vizuri wanavyofanya. Suala la udini hapa halina maana kama kikwete angetaka kumlinda hata huko mahakamani asingefika, chadema tunataka haki kwa kila mtu bila kujali ni mwekundu au wa njano, maskini au tajiri, ponda atendewe haki, hilo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…