Hukumu yao: Jamal D. Malinzi na Rugemalira, na wako wapi kwa sasa?

Hukumu yao: Jamal D. Malinzi na Rugemalira, na wako wapi kwa sasa?

Reginald L. Ishala

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2011
Posts
3,810
Reaction score
6,789
Habari zenu, WanaJF!

Kama kiini cha swali tajwa hapo juu kilivyo.

Naomba kufahamu hukumu ya Jamal D. Malinzi na Rugemalira imefikia wapi kwa sasa?

Na je viongozi hawa wako wapi kwa sasa?

Karibu kwa maoni na nyongeza.

NATANGULIZA SHUKRANI.
 
Back
Top Bottom