Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Michael Wambura not Boniface..Malinzi na Boniface Wambura hawa wazee walikuwa wataenda kuombea Uongozi wa TFF sana.wametupiga balaa
Shukrani sana mkuu
Nashukuru mkuuMalinzi na Boniface Wambura hawa wazee walikuwa wataenda kuombea Uongozi wa TFF sana.wametupiga balaa
Michael Wambura huyu jamaa alikuwa king'ang'anizi sana mambo ya Uongozi TFF .Na yangeendelea angefungwa.na amechangia hata kufa kwa stendi United kwani aliposikia jamaa wamepata mzigo alihamia kabisa kuleMichael Wambura not Boniface..
kasulavenance mkuu, Nashukuru kwa taarifa.Michael Wambura huyu jamaa alikuwa king'ang'anizi sana mambo ya Uongozi TFF .Na yangeendelea angefungwa.na amechangia hata kufa kwa stendi United kwani aliposikia jamaa wamepata mzigo alihamia kabisa kule
Shukrani, Mkuu!