CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Wadau, naomba niliseme tu! Naona hukumu za akina Ponda zimejaa siasa tu wala hakuna hata chembe moja ya uhalisia wa sheria. Ni kuwatuliza kundi la watu fulani. Hakuna taaluma ya sheria! Shame on judiciary!