C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,357 Reaction score 6,424 May 10, 2013 #1 Wadau, naomba niliseme tu! Naona hukumu za akina Ponda zimejaa siasa tu wala hakuna hata chembe moja ya uhalisia wa sheria. Ni kuwatuliza kundi la watu fulani. Hakuna taaluma ya sheria! Shame on judiciary!
Wadau, naomba niliseme tu! Naona hukumu za akina Ponda zimejaa siasa tu wala hakuna hata chembe moja ya uhalisia wa sheria. Ni kuwatuliza kundi la watu fulani. Hakuna taaluma ya sheria! Shame on judiciary!