CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Napendekeza, Mahakama kuu kuwe na utaratibu wa kuwa na majaji wawili katika kusikiliza kesi na kutoa hukumu. I am alive aware kuwa Mahakama ya Rufaa huwa ni majaji 3, (lazima kuwe na odd number kwa ajili ya kupata majority) hii itatoa nafasi ya wawili kusaidiana kufikia uamuzi sahihi according to the dictates of law!Mahakama kuu kuna VODA FASTA wengi; lakini kule kwenye MAHAKAMA YA RUFAA hawa wa voda fasta kupenyeza sio rahisi!! Hukumu pia hutolewa na majaji na sio jaji!!!!