Hukumu za Mahakama zina athari kubwa sana hata kwa mtoaji

Hukumu za Mahakama zina athari kubwa sana hata kwa mtoaji

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Hukumu inayotolewa na mahakama zinaathari kubwa Zinakuwa reference katika kesi mbali mbali zinazotokea na kutolewa uamuzi, katika maisha yetu, zikiwa mbaya zinaleta athari zaidi hata kwa mtoaji hukumu hizo.

Kwa mfano Jaji kasema Kubakwa sio tatizo kwa sababu kajitakia kwa kuwa alitembea usiku , endapo yeye au familia yake itafanya kosa kama hilo, reference ya maaumuzi yake yatamumiza mwenyewe akifikishwa kwa Pilato wakati hana nguvu ya kuingilia mfumo huo (Mstaafu).

Zinatumika katika research: Ikiwa hukumu itakuwa mbovu na bila kukuatiwa rufaa basi inakuwa rereference na itaathiri sana katika mfumo wa mahakama kwa miaka ijayo.

Hukumu za mahakama ni sawa na tukiwa na mitala mibovu au kuvijisha mitihani katika fani ya afya, mwisho wa siku dkt atatumia msumari kumpiga shindano mtoto kwa sababu mfumo wa elimu uliharibika.
 
Hukumu inayotolewa na mahakama zinaathari kubwa
Zinakuwa reference katika kesi mbali mbali zinazotokea na kutolewa uamuzi, katika maisha yetu, zikiwa mbaya zinaleta athari zaidi hata kwa mtoaji hukum hizo
Kwa mfano Jaji kasema Kubakwa sio tatizo kwa sababu kajitakia kwa kuwa alitembea usiku , endapo yeye au familia yake itafanya kosa kama hilo, reference ya maaumuzi yake yatamumiza mwenyewe akifikishwa kwa Pilato wakati hana nguvu ya kuingilia mfumo huo (Mstaafu)
Zinatumika katika research: Ikiwa hukumu itakuwa mbovu na bila kukuatiwa rufaa basi inakuwa rereference na itaathiri sana katika mfumo wa mahakama.
Wenyewe wanajali sasa?
 
Back
Top Bottom