Shida ni mahakimuTulaumu Hukumu zisizo za haki, Tusilaumu Kushinda Rufaa!
Kumhukumu mtu kwenda jela na baadaye mtu huyo kushinda rufaa kunasababisha chuki zisizokwisha kwa waathilika wa hukumu hizo pamoja na wafuasi wao. Unasababisha matezo yasiyo ya lazima kwa mtu, familia, ndugu na marafiki. Huku ni kupanda mbegu mbaya ya chuki na visasi mioyoni mwa watanzania. Matukio haya ya kushinda rufaa yanayozidi kuongezeka nchini yanamaanisha nini?
Subiri siku ukutane na kadhia kama hiyo ndo utajua ubaya wa kumhukumu mtu kishabiki au kwakupindisha sheria makusudi. Nitamuomba Mungu balaa kama hili likukute siku moja kwenye umri wako uliobakia ili ujue ninachokisema kwenye uzi huuMropokaji tu wwhuna lolote , kwahiyo tufute mahakama ya rufaa?
Muulize Nape yaliyomkuta na batola,,, nae alituita waropokaj hvohvoMropokaji tu wwhuna lolote , kwahiyo tufute mahakama ya rufaa?
Anaujuzi wa kubangua koroshoWee mwache azidi kulipasua Taifa tu..
Nafikiri ndio kitu alicho na utaalamu nacho zaidi..
Bajeti ya Maendeleo 11Trillion unatoa 3Trillion tu kwa mwaka mzima.. AIBU kabisa.
HahahhhhahhahhhahahahhhahahhhahhhahahahahaaAnaujuzi wa kubangua korosho
Kweli we ni Kilumbia original, so unaufurahia na kupreiz madudu yanayofanyika ktk mahakama zetu, kwa kuwa mahakama ya rufaa ipo? Mahkma ya rufaa huona itakuwa na madudu mengi yasioendana na muda wake? Raia wangap wanateseka kutokana na kutumikia kifungo cha shinikizo la serikali? Acha ukilaza ww.Mropokaji tu wwhuna lolote , kwahiyo tufute mahakama ya rufaa?
Tutafute kwanini mahakimu wanahukumu vibaya na kusababisha mateso kwa watu bila kujali. Tatizo liko wapi? ni elimu na taaluma ya sheria imeshuka au kuna rushwa au kuna siasa kwenye hukumu hizo?Tulaumu Hukumu zisizo za haki, Tusilaumu Kushinda Rufaa!
au haki sawa 50 kwa 50Shida ni mahakimu
TANGU LINI POMBE IKALETA MAENDELEO?Wee mwache azidi kulipasua Taifa tu..
Nafikiri ndio kitu alicho na utaalamu nacho zaidi..
Bajeti ya Maendeleo 11Trillion unatoa 3Trillion tu kwa mwaka mzima.. AIBU kabisa.