eddy yule msee
Member
- Jan 9, 2017
- 63
- 45
Hey cuckold, what makes you think we're doing nothing while watching blue movies ? The argument of an idiot.Tumeachwa nyuma? Mlituacha mbali sana, sasa gap inapunguzwa mdo mdo. Nigeria sasa hivi yupo mbele ya SA na ana accelerate.
Naija is above SA cuckold, hao wazungu hujinufaisha wao kwanza, mabaki mabaki ndio mnapatiwa.Hey cuckold, what makes you think we're doing nothing while watching blue movies ? The argument of an idiot.
Peleka hizo peanut projects to Burundi jirani zenu abi !
Duh! Hoshea, mbona nynyi kila hupenda kusema wazungu hili au lile, kweli Tanzania ni nchi inayojimudu kivyake bila ya kujihusisha na hawa wazungu?Naija is above SA cuckold, hao wazungu hujinufaisha wao kwanza, mabaki mabaki ndio mnapatiwa.
Kama hawangepapenda, wangenyamaza tu, ama kusema "lovely, but..."Mi zamani nilikua nafikiri wakenya wana maseke sana. Kumbe majivuno ya bure. Sasa mlitaka hao watu waseme kenya ni hell on the earth
Kwa hiyo sasa unavyoona ww wamependa nini? Au Ni kitu gani kinaifanya Kenya kua heaven on the earth? Yani we huchaniki kua wanawaona matwantwa?Kama hawangepapenda, wangenyamaza tu, ama kusema "lovely, but..."
Lakini waliulizwa ma majarida ya huko ati Kenya kukoje, wakasema "heaven on Earth", ina maana kweli walipapenda.
Kenya na Tanzania ni nchi yenye mandhari ya kupendeza, na zinapendelewa sana na watalii. Sielewi kero yenyu hapa ni ya nini.Kwa hiyo sasa unavyoona ww wamependa nini? Au Ni kitu gani kinaifanya Kenya kua heaven on the earth? Yani we huchaniki kua wanawaona matwantwa?
Hapana hatujimudu wenyewe, tunashirikiana nao, lakini si kwa kiwango kikubwa kama Kenya na SA.Duh! Hoshea, mbona nynyi kila hupenda kusema wazungu hili au lile, kweli Tanzania ni nchi inayojimudu kivyake bila ya kujihusisha na hawa wazungu?
Hebu kuwa mkweli.
Kwa nini mchague sifa zenu zile mna-deserve. Wale wazungu wamewaona mpo heaven[emoji15] [emoji91]. Mmeikubali hiyo.Kenya na Tanzania ni nchi yenye mandhari ya kupendeza, na zinapendelewa sana na watalii. Sielewi kero yenyu hapa ni ya nini.
Ni kawaida kwa wazawa wa eneo fulani kufurahia mji au nchi yao ikiongelewa vyema.
Haya ni maoni yao, na sisi kama wananchi wa Kenya ni kawaida tukapendezwa wageni wakisema yaliyo mema kuhusu nchi yetu, hasa wageni wenye hadhi kama hawa.
Hata mkituita "matwatwa" sijui kitu gani hicho, tafadhali, ni haki yetu kufurahi tunapopongezwa.
Hawajatuona matwatwa wala watumwa, hayo ni maoni yenyu nyinyi. Na mtu anayeshindwa akishauku complements za watu kumhusu, huyo ni mtu mwenye tatizo flani ya kisaikolojia.
Kenya inashirikiana nao kwa kiwango gani na Tanzania kwa kiwango gani?Hapana hatujimudu wenyewe, tunashirikiana nao, lakini si kwa kiwango kikubwa kama Kenya na SA.
Alafu masuala ya wazungu ni huyo eddy yule msee ndio alianza gusia, me najibishana nae tu. No big deal buda.
LetaKenya inashirikiana nao kwa kiwango gani na Tanzania kwa kiwango gani?
Unataka nikutolee data ya kiwango cha misaada mnazopata kutoka kwao?