Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hawa si wageni mkuu .wakalibie wajue lig ya sasa s lele mama
Steve Bruce nafikiri atakuwa moja kati ya Makocha waliopandisha timu mara nyingi. Mwingine ni Mick McCarthy.Inaungana na wale washindi wawili wa championship league , baada ya kuichapa Sheffied Wednesday katika fainali ya play off iliyopigwa Wembley .
Shukran kwa bao kali la Mweusi Diame , kwa shuti kali kutoka nje ya 18 .
Kila la heri Steve Bruce .
Unaonaje uchezaji LeicesterSteve Bruce nafikiri atakuwa moja kati ya Makocha waliopandisha timu mara nyingi. Mwingine ni Mick McCarthy.
Tutawaona kina Tom Huddleston, Abel Hernandez, Chester Na wengine.
Ila wajiandae kushuka msimu ujao, mpira wa kiingereza kwa sasa hauna nguvu makocha wa kigeni wamebadili style ya kucheza mpira.
Leicester mpaka Nov/Dec watu team hazikuwachukulia Serious.Unaonaje uchezaji Leicester
Chester yupo West BromSteve Bruce nafikiri atakuwa moja kati ya Makocha waliopandisha timu mara nyingi. Mwingine ni Mick McCarthy.
Tutawaona kina Tom Huddleston, Abel Hernandez, Chester Na wengine.
Ila wajiandae kushuka msimu ujao, mpira wa kiingereza kwa sasa hauna nguvu makocha wa kigeni wamebadili style ya kucheza mpira.
[emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74]Welcome back our former captain Steve Bruce to EPL
Goli kali sana ! Kipa alijinyoosha mpaka mbavu ya mwisho lakini akaishia kuuparaza tu .Diame ni mbwa yule mtt,,, goli Lake lilinifanya niongeze siku za kuishi
Tatizo hachelewi kurudi tena kule kule .Welcome back our former captain Steve Bruce to EPL
Mwanitesa united aka Manyau fc....hawana jipya hawa..ngoja tuone tambo za Mourinho.. zitawafikisha wapi...[emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74]
Sasa umerudi kwenye mstari
championship si mchezo ndugu....pagumu sana kutoka....hata hivyo nami ningefurahi kuwaona kina Bent..premiere league next season.. lakini hawakufanikiwa kupanda!!!Kubaki kwa Derby county na Brighton & Hove kumeninyong'onyesha sana , kwangu hizi timu zilikuwa bora kabisa .
Nini maoni yako Kuhusu Jose?Welcome back our former captain Steve Bruce to EPL
Ni chaguo sahihi kwa wakti sahihi..tumpe muda.Nini maoni yako Kuhusu Jose?