British economist
Senior Member
- Jul 14, 2013
- 104
- 14
- napenda kujua kwanini binadamu tuna akili na mitazamo tofauti
- na kwanini tumeumbwa na tuna uwezo wa kufikiri tofauti tofauti
- kwa nini mungu aliamua kututenga kwa lugha? Kama wote tumeumbwa kwa mfano wake kwanini tusionge lugha moja?
- kwanini tumejitenga katika makabila?
- na jee watu weusi ni ishara ya laana duniani ? If so why if not why kwasababu sisi pke etu ndo tuko nyuma apa duniani
- lastly kama wote tueumbwa na mungu kwa mfano wake kwanini tuna mitazamo tofauti in ter of colour,intelligency.etc