Mfano, gari, pikipiki, nyumba, computer, ndege etcSawa, kwanini sasa? Thibitisha hili.
Unaposema 'kwangu mimi' unamaanisha Nini?? Utambue Ulimwengu haukujui wewe na haujali hisia zako wala wewe unafikiria Nini juu yake.
Hivi vyote ulivyotaja havijawa created...Vimeunganishwa TUMfano, gari, pikipiki, nyumba, computer, ndege etc
Note dunia haijari hisia za yeyote wala kumjua yeyote isipokuwa binadamu ndio wanajari ikiwa una maslai kwao
kumbe ni mtazamo wako tu,Kwangu mimi kila kilicho kina mtu aliyekitengeneza au kuumba hakuna kinachokuja tu
kukujibu swali lako, jiulize kitu kimoja utapata jibu, kwanini tunatumia computer, simu, laptop,calculator n.k? ukipata jibu utakuwa mahali pazuriNdugu muweka mada, hivi kweli computer ambayo imetengenezwa na mwanadam ndo kusema ina akili kuliko ubongo wa mwanadam yet ubongo wa mwanadam ndo umebuni computer?
Yet computer ipo programmed, so task beyond programmed logic haifanyi kazi.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile ap
Mikono yangu,miguu yangu, macho yangu, kichwa changu, ubongo wangu tumbo langu LAKINICompyuta bila kuwa na software(au program) haina kazi yoyote.... unapoiwekea program kama windows(unavyoiprogram) ndio inapata jina au identity kutokana na program ulioipa....utaskia mtu akisema "compyuta yangu ina edit video" mwingine "my gaming pc"..."windows pc" na kadhalika....
Anaye program ubongo ni "wewe".....bila "wewe" ubongo wako ni sawa na hardware. Yani wewe ndio program/software ya ubongo wako.
Mikono yangu,miguu yangu, macho yangu, kichwa changu, ubongo wangu tumbo langu LAKINI
WHO AM I?