Habari zenu wana group.
Tunauza PADS za Human Cherish maarufu kama HQ. Kwa sasa tuna Sanitary Pads tu ambazo hutumiwa na wanawake kwenye kipindi cha HEDHI.
PADS hizi ni Pads zenye ubora wa hali ya juu na zimewekewa Dawa maalumu inayosaidia kutibu maradhi kama vile Fungus, miwasho na pia huondoa harufu mbaya inayoweza kutokea katika kipindi hiki. Pia humuweka msichana akiwa huru na Comfortable katika siku hizi.
Bei zake ni kama zifuatazo kwa pakiti moja ambapo kila Pakiti ina Pic 8: Size ya kati (Medium) ni Tsh 2500/= na Size kubwa (Large) ni Tsh 3000.
Katika ngazi ya Usimamizi wa Biashara (Management Level) kuna wanaume na wanawake. Ila Wauzaji wakuu wa PADS hizi ni wanawake wanaojitambua na kuitambua kazi yao ambao watasambaza PADS hizo majumbani, mashuleni, mavyuoni, maofisini, masaluni (n.k) ambapo kwa atakayehitaji pakiti zaidi ya 3 (Medium or Large) ataletewa hadi alipo ila ni kwa maeneo ya DAR-ES SALAAM tu kwa sasa.
Kama utahitaji kuwa mteja wa kudumu wa PADS hizi zenye Ubora wa hali ya juu na utakayekuwa unaletewa PADS hizi hadi ulipo (Kama utakuwa unachukua zaidi ya Pakiti 3) na wanawake hao, wasiliana nasi kwa kupiga simu au kutuma ujume mfupi wa maneno (sms) kupitia nambari +255763267572 au +255785589732 au +255714026372
SHUKRANI.
"Girls are competing each other, women are empowering one another"