kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
asante kwa kumaliza kazi katika uzii huuHakuna haja ya kujadili uongo
Binafsi naumia sana ninapoona watoto wetu wakifundishwa matango pori
Kuna kila haja kama Taifa tukatunga mitaala sisi wenyewe.....
Kaisome evolution vizuri alafu ndo ujenge hoja,kwa maswali yako ina onesha hata maana ya evolution hujui ni ngumu kujibiwaWanasema binadamu alitokana na jamii ya nyani (sokwe). Then evolution ikatake place hatua kwa hatua huku akipitia vipindi tofautitofauti kama vile HOMOSAPIENS,HOMOHABILLIS & ZINJANTHROPUS.
Swali langu la msingi ni hili;
1. Hii jamii ya nyani ambayo mpaka kesho wapo,wakati wenzao wapo kwenye evolution wao walikuwa wapi?
2. Kwanini tusishuhudie mabadiliko yao kama tu zile sababu za evolution zinaendelea kuwepo?
3. Je,tuendelea kutegemea evolution nyingine kutoka hatua hii tuliyopo au tumeshafika mwisho.
Ila kuna watu bado wanaamini hivyo.Hakuna haja ya kujadili uongo
Historicaly wazungu walikuwa mtu mweusi wanamfanyia maonyesho na kujipatia hela. Kwahiyo walikuwa wanawachukulia kama wanyama kutokana na lifestyles na rangi.Kwa nn blacks katika ubaguzi tunarushiwa ndizi ilihali kuna yellow baboons maana wenzetu wamekomalia gorillas tuuu.
Uko sahihi mkuu.Binafsi naumia sana ninapoona watoto wetu wakifundishwa matango pori
Kuna kila haja kama Taifa tukatunga mitaala sisi wenyewe.....
Ungesema nimekosea wapi halafu uje na uhakika wa jambo lenyewe ingekaa poa sana.Kaisome evolution vizuri alafu ndo ujenge hoja,kwa maswali yako ina onesha hata maana ya evolution hujui ni ngumu kujibiwa
Acha ubishi..! Chukua kitabu cha biology form four. Ukielewa urudi kufuta uzi wako! Au nenda google andika Evolution for Dummies majibu yatakuja..Ungesema nimekosea wapi halafu uje na uhakika wa jambo lenyewe ingekaa poa sana.
Wajuvi watufahamisheKwanini evolution iilitokea kwa nyani tu na sio kwa punda?
Thread yangu ina maswali nataka kujua,ubishi umetoka wapi?Acha ubishi..! Chukua kitabu cha biology form four. Ukielewa urudi kufuta uzi wako! Au nenda google andika Evolution for Dummies majibu yatakuja..
Sent using Jamii Forums mobile app
sio umekosea umejengea hoja kitu ambacho hukielewiUngesema nimekosea wapi halafu uje na uhakika wa jambo lenyewe ingekaa poa sana.
Nakubaliana na wewe mkuu, ni vyema angeielewa hiyo evolution kwanza ndio angetengeneza hoja na bila shaka angepata msaada kuliko alivyokurupuka na kuja kutapika humu.sio umekosea umejengea hoja kitu ambacho hukielewi
ungekuja na maswali ya kufundishwa kwanza evolution...wewe maswali yako yanatengeneza hoja ya kuipinga evolution kabla hujaielewa
mfano umechanganya stages za human evolution na human history