Human nutrition

Human nutrition

TAKE CARE

Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Wadau mimi nimechaguliwa kusoma course inaitwa "Human Nutrition" chuo cha SUA. Naomba kujua kama ina mahusiano na udaktari? inahusu nini? Je kazi ambazo unaweza fanya baada ya kuhitimu hio course ni aina gani?

Msada tafadhali.
 
course yoyote inalipa hata hiyo inalipa if and only if ukiwa mtu wa michakato!!
 
umechaguaje kitu ambacho hukijui???...ok nadhan iko hivi...kulipa inalipa..ila lazima uwe na chanel nzur na chuo pia upige fresh!!!
 
ukifka sua utakuna na wenzako wanaosoma hyo HN so watakupa detail zaid but iko poa sana,....na kama ulivyosema ni kweli inauhusiano na udaktari ....wataalam watakufafanulia zaid inauhusiano gani
 
Back
Top Bottom