Wadau mimi nimechaguliwa kusoma course inaitwa "Human Nutrition" chuo cha SUA. Naomba kujua kama ina mahusiano na udaktari? inahusu nini? Je kazi ambazo unaweza fanya baada ya kuhitimu hio course ni aina gani?
ukifka sua utakuna na wenzako wanaosoma hyo HN so watakupa detail zaid but iko poa sana,....na kama ulivyosema ni kweli inauhusiano na udaktari ....wataalam watakufafanulia zaid inauhusiano gani