Human papilloma virus (HPV) ugonjwa hatari kuliko UKIMWI. Anayejua kuhusu huu ugonjwa afafanue zaidi

Kwa hili mkuu itabidi upresent evidence kali kutetea hoja yako, chanjo ni moja katika vitu ambavyo sisi watumwa tunavipigia kelele mvikubali inaitwa (health promotion). Vijana wa kiume pia wanapewa chanjo hii kwani wanapata sana madhara kwa mapenzi ya kuhusisha kinywa na sehemu za siri, inasababisha cancer ya koo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…