Human resource kwa pass mbili

Human resource kwa pass mbili

Edwin171

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
451
Reaction score
553
Habari zenu wakuu naomba kwa yeyote anayefahamu chuo chochote kinachotoa kozi ya human resource kuanzia pass 2 nimemaliza form four nina d-2,e-3 na f-2
 
Vyuo vya uchochoroni ntapata nafasi ila sivihitaji

Ushauri wangu ni hivi. never do that. sorry kwa kingreza. usifanye hivyo kwa sababu hakuna chuo chenye course rasmi inayotambulika na serikali ya tanzania ina ruhusu kusoma na pass mbili. Hata hao CBE wmafunzo hayo hayatambuliki. baadae utakuja sumbua tena nataka kwenda soma degree mbona sichaguliwi! narudia tena kasome veta au rudia mpaka upate ati lease pass 4 na zisiwe za masomo ya dini
 
Siku hizi form four kuna e? Ama ndo ilikuwa sehemu ya division five? Mweeh
Habari zenu wakuu naomba kwa yeyote anayefahamu chuo chochote kinachotoa kozi ya human resource kuanzia pass 2 nimemaliza form four nina d-2,e-3 na f-2
 
Back
Top Bottom