Habari zenu wakuu naomba kwa yeyote anayefahamu chuo chochote kinachotoa kozi ya human resource kuanzia pass 2 nimemaliza form four nina d-2,e-3 na f-2
Ushauri wangu ni hivi. never do that. sorry kwa kingreza. usifanye hivyo kwa sababu hakuna chuo chenye course rasmi inayotambulika na serikali ya tanzania ina ruhusu kusoma na pass mbili. Hata hao CBE wmafunzo hayo hayatambuliki. baadae utakuja sumbua tena nataka kwenda soma degree mbona sichaguliwi! narudia tena kasome veta au rudia mpaka upate ati lease pass 4 na zisiwe za masomo ya dini
Habari zenu wakuu naomba kwa yeyote anayefahamu chuo chochote kinachotoa kozi ya human resource kuanzia pass 2 nimemaliza form four nina d-2,e-3 na f-2