Habar zenu wana JF nauliza maana niko njia panda na mambo ya TCU,hvi mtu aliyesoma HUMAN RESOURCES MANAGEMENT AMA SOCIAL WORK anaweza kufamya kaz zipi?
Habar zenu wana JF nauliza maana niko njia panda na mambo ya TCU,hvi mtu aliyesoma HUMAN RESOURCES MANAGEMENT AMA SOCIAL WORK anaweza kufamya kaz zipi?
soma Human Resources Management (HRM), itakusaidia sana binafsi. Kwanza itakufanya ufahamu sheria za kazi kwa kiwango kikubwa, pili uwezo wa kuongoza wafanyakazi kitaalam ili watumie nguvu zao katika uzalishaji (haijalishi utakuwa umeajiriwa au kujiajiri) mwisho kama unaweza kuajiriwa kama afisa utumishi serikalini or administrator, ukifaulu vizuri unaweza kuwa lecturer!
Kazi ni kwako.