salmeen shabani
Member
- Jun 30, 2014
- 5
- 0
Msaada samaanii wakubwa naomba kuuliza ni ajira gani unayoweza kupata ukisomea Human resources, Msaada wenu wakubwa!

ni bora usome BA in general ambayo hiyo HR huwa umo ndani n utakuwa multpurpose kwa soko la ajira asante