Human Rights Watch: Freedoms in Tanzania threatened ahead of elections as authorities crack down on Opposition Parties, Rights Groups, Media

Umesema polisi imeuwa wanahabari Tanzania, hujaweka hata ushahidi wa mwanahabari mmoja aliyeuliwa, Azory alipotea katika mazingira yanayoonyesha serikali inahusika, lakini hakuna ushahidi kama ameuliwa, Erick Kabendera alishitakiwa kwa kosa la kukwepa kulipa kodi, alikiri kosa Lake na alikubali kurudisha hizo pesa na sasa hivi yupo huru.

Tafadhali weka ushahidi kuonyesha kwamba wanahabari Tanzania wanapigwa au kuuliwa na POLISI.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Nchi mbili tofauti sana, nchi moja ambayo inaongoza katika police brutality na nchi nyingine ambayo kesi za polisi britality ni kama hazipo.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Matusi yaelekezeni kwa HRW, mada ni kuhusu ripoti yao, sijaongeza lolote la ziada. Naona mtindo umekuwa ni wa kujitia hamnazo na kuilaumu nchi ya Kenya, wakati nchi ya Kenya haijatajwa popote kwenye ripoti hiyo.
Hiyo ni report kuhusu Tanzania, ulitegemea Kenya itajwe?. Kuhusu human right records, Tanzania is far better than Kenya in all parameters.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Eti umetaja sperms, kwenye mada inayohusu haki za kibinadam na wito wa uchaguzi huru na wa haki nchini Tz? Unaitumua nchi ya Kenya kuhalalisha ukosefu wa hayo yote nchini Tz? Tena hata hujui kwamba wagombea wote walikuwepo kwenye kijikaratasi cha kupigia kura kwenye uchaguzi wa marudio(kwa amri ya mahakama ile ile).
 
Walikuwepo kwasababu tume ilikataa kuwaondoa, tume yenu inapokea amri toka kwa Uhuru Kenyatta sio tume huru kabisa ndio sababu ilikataa kuruhusu server zichunguzwe Kama mahakama ilivyoagiza.

Kuhusu maneno makali na mazito niliyotumia, nilitaka kukuonyesha kwamba unapotumia maneno makali kama "pumbavu", sio jambo Jema.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Matusi yaelekezeni kwa HRW, mada ni kuhusu ripoti yao, sijaongeza lolote la ziada. Naona mtindo umekuwa ni wa kujitia hamnazo na kuilaumu nchi ya Kenya, wakati nchi ya Kenya haijatajwa popote kwenye ripoti hiyo.
Akili yako fupi imeshindwa kujibu mambo niliyokuuliza,

Ila sishangai kwa sababu mkoloni aliondoka na akili zenu hapo mmebakiwa na mabox empty kichwani na ndio maana kuanzia serikali yenu hadi wewe mwananchi wa kawaida huwa mnafanya mambo kwa kukurupuka.
 
Mimi sijalitumia kama tusi, soma tena comment yangu. Haishangazi lakini kwamba unatapatapa ili usijadili kuhusu tume ya uchaguzi nchi Tz. Hivi unajua makamishna wa tume huru ya uchaguzi nchini Kenya huwa wanateuliwaje? Kuhusu server za IEBC na uchaguzi uliopita nchini Kenya ni wazi kwamba hujui lolote. Alafu nikikueleza kwamba unakariri tu kama kasuku unaona kwamba nadanganya. Haya basi, jisomee mwenyewe. IEBC opens its servers to candidates and observers
 
Ninaomba kukuuliza swali, wewe una matatizo ya akili au ukabila ndio unakusumbua?, baada ya hii post sitegemei kama nitaendelea kujibishana na wewe tena.

Mimi bado ninaamini kabisa kwamba uwezo wako wa akili ni mzuri ila ukabila, ubinafsi na tabia ya kutokubali kukubali kwamba Kenya mnapaswa kujifunza toka kwa nchi zingine zinazofanya vizuri katika baadhi ya maeneo ndiko kunakokusumbua. Punguza tabia hiyo uweze kujifunza mambo mapya.

Tume yenu ilikataa kufungua server baada ya uchaguzi wa kwanza ambapo NASA walipinga matokeo mahakama ikaamrisha IEBC kuruhusu server zifinguliwe ili mahakama ijiridhishe, lakini tume ilikataa, Raila Odinga ndio akaja na msemo kwamba Uhuruto ni vifaranga vya Computer.

NASA walisema kama tume itabaki kuwa hiyohiyo na kutumia computer hizohizo ambazo wamekataa kuzifungua, wao hawatoshiriki uchaguzi.

Hii unayoweka wewe ni baada ya uchaguzi wa marudio baada ya NASA kujitoa katika huo uchaguzi, katika uchaguzi wa pili hakuna mtu yeyote aliyesema kura zimeibiwa kwasababu NASA hawakushiriki, sasa kufungua server baada ya uchaguzi wa marudio kulikua na maana gani, kwanini walikataa kuzionyesha hizo server baada ya kuamuriwa na mahakama?

Ninarudia tena, kama utaendelea na huu ukaila wako wa kupinga kila kitu pamoja na ushahidi kujionyesha waziwazi, basi haina maana kuendelea kujibishana na wewe.
 
Jikite kwenye mada unajiabisha bure kwa ubishi kwenye mambo ambayo huyajui. Unasema kwamba server hazikufunguliwa wakati kesi ya upinzani kuhusu uchaguzi wa kwanza ilikuwa based na walichopata kwenye servers?

Soma hukumu ya kesi iliyobatilisha ushindi wa Jubilee hii hapa inasema wazi kwamba" the fact that IEBC refused to give court full access to it computer........ "
Kenya court blames electoral body for nullified vote

Tafadhali usinipotezee muda wangu, ukabila unakusumbua sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Jikite kwenye mada unajiabisha bure kwa ubishi kwenye mambo ambayo huyajui. Unasema kwamba server hazikufunguliwa wakati kesi ya upinzani kuhusu uchaguzi wa kwanza ilikuwa based na walichopata kwenye servers?
Rudi kwa mada ya human rights.. Miguna yupo wapi Leo? Marsharti 7 za korti dhidi yake ngapi zimetekelezwa? Hakuna kosa Kubwa kama kumnyima MTU uraiya wake ni sawa na kumuua.
Ngo'mbe za Jayden
 
Jikite kwenye mada unajiabisha bure kwa ubishi kwenye mambo ambayo huyajui. Unasema kwamba server hazikufunguliwa wakati kesi ya upinzani kuhusu uchaguzi wa kwanza ilikuwa based na walichopata kwenye servers?
I don't know if there's a Tanzanian individual who can be engaged in a mature conversation without hurling insults. During the engagement in this thread, you've maintained calm,no harsh/insultive comments despite the back to back scornfule abuses from the other members, (the thread is about human rights mind you)
i salute this kind of boldness.
 
Kawaida mnaanzisha chokochoko, tukiwarudishia ujinga wenu mnaanza kulalamika kwamba tunawaonea. Siku zote wakenya ndio mnasnzisha mapambano, sisi huwa tunajibu mapigo, soma post #27 alivyoanzisha ujinga wake uliosababisha nianze kumshushia kipigo.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tanzanian Journalist’s Disappearance Remains Unsolved
Tanzanian TV journalist arrested for airing story on police brutality: rights group
Second Tanzanian journalist arrested must be freed unconditionally
https://allafrica.com/stories/201706200744.html
Tanzania police threaten to beat protesters 'like stray dogs' to halt demos
https://www.news24.com/Africa/News/20-killed-in-Tanzania-police-brutality-20110804

Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba, hawa polisi sahi wangekuwa wako na mashtaka kotini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…