"HUMAN ZOOs" biashara ya fedheha kwa waafrika

Wameturithhisha na upuuzi huu..
wa kubishana..kuhusu nani katili zaidi kati yao wakati wote ni" dugu " moja!
Bado sana waafrica!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana na mpaka leo kwenye nchi zao kuna ubaguzi wa kimya kimya unaendelea.
 
Ukweli mchungu hadi sasa wanatufanya watumwa nasi tunafurahia na kujiona mashujaa eti twasema ukweli ili jumui za kimataifa zitambue udhaifu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…