Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.

Vipi waliowatanguliza mbele za haki wakiwamo JKN, Maalimu Seif, BWM, JPM na wahanga wengi tu? Au hao ni wenzako?
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Adhabu haipo hata kwenye penal code!
 
Ushahidi gani zaidi ya blah blah
ni kweli hana ushahidi zaidi ya dhana dhana dhana.

Hivi huyu slow x2 ni wa kanda ya ziwa?

Wala siyo ajabu maana wale jamaa si ndiyo walikuwa viongozi walipotaka kumpindua Nyerere (Uncle Tom na Maganga?)
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Kwani na wew unazani hutoukumiwa kifo au hutokufa
 
Binadamu sio mbuzi kwamba anyongwe kisa mnataka nyama toa ushahid uujuawao wewe hata nafasi ya mjumbe huna
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Silence surrenders public responsibilities

Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo wengi wao hawawezi kuchakata fikra chanya na hasi
 
Production Economy, Entertainment Economy, Service Economy!!!!
Ninaziona hizi Tatu. Na nadhani inatakiwa ianze PE, ifuate SE na mwisho EE.

In away, ni kama Sasa tumeshikia bango EE, tukafuata SE na PE ndiyo tunaiua kabisa...!!!
====
Mijadala ya namna hii tunahitaji sana.
 
31 August 2025


View: https://m.youtube.com/watch?v=Uz_tHuV_lbc&pp=ygUTUG9sZXBvbGUgcGF0cmlhMjAyNQ%3D%3D Ufafanuzi wa Ndg. Polepole leo usiku tarehe 31 Agosti 2025​

Vijana tuache kutegemea wazee watutetee, huu ni wakati wetu siyo muda wa kutafuta atakaye tukomboa.

Nchi nyingi vimekombolewa kutoka kwa wakoloni au utawala gandamizi kwa vijana kuchukua hatima yao mikononi mwao kwa wakati wao wakiwa vijana.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ZoaHomVhSGs Hawakusubiri wazee wawatetee, wazee walitumika tu kuwatia moyo vijana, lakini jukumu la mabadiliko vya vitendo ni letu kizazi hiki cha wengi kinachopitia madhila ya kugandamizwa, kupuuzwa na kuonewa .

KUTOKA MAKTABA:

VIJANA NA MABADILIKO, WAKATI HUU 2024 / 2025 NI SAHIHI KUINGIA KTK NAFASI ZA MAAMUZI IKIWEMO URAIS


Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi, Vijana ni taifa la leo, watoto ndiyo viongozi wa kesho. Kauli za kilaghai kuwa vijana ni kwa ajili ya taifa la kesho siyo sahihi.

Vijana msihofu msuguano na wazee waliopo mamlakani, kusubiri kupewa ni kukubali kuwa tumejumuishwa na watoto chipukizi. Ni wakati wa vijana kuchagiza kwa mbinyo wa hoja kuwa uongozi wa nchi ni kwa ajili ya vijana.

Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa bunduki au maandamano ya kuondoa wakoloni, baadaye kulifuatia msuguano wa wananchi wenyewe kwa wenyewe kwa kutoridhishwa na wale waliochukua utawala toka kwa wakoloni.

Sababu mbalimbali zilizua msuguano ktk nchi huru kama udiktekta, tawala kamdamizi ya chama kimoja kongwe, utawala mbovu, ubaguzi wa kielimu mfano mtoto aliyesoma shule za kata / st. Kayumba anadanganywa kuwa akihitimu chuo kikuu atakuwa na nafasi sawa na mwenzake aliyesoma St. Mary's akamaliza elimu ya chuo kikuu pia anayekimanya kiingereza vizuri zaidi na wajomba wake wapo ktk nafasi za kiutawala n.k

Hapo ndipo Wanafunzi waliopo ktk nchi kama Sudan, Chile, Cuba, Afrika ya Kusini, Kenya walishiriki kudai mageuzi ili kuondokana na tawala zilizomgoa mkoloni.

Tanzania vijana hawajishughulishi kuhoji mambo yasiyowaridhisha wananchi kama bandari kuchukuliwa kuwa vituo vya nchi ngeni, matumizi mabaya ya kodi za wananchi, tozo zilizokifu wananchi, demokrasia kubinywa, katiba kandamizi n.k

Huko Chile marekani ya kusini nchi iliyo viongozi wa vyama vya wanafunzi wenye kushiriki kikamilifu katika siasa pia maandamano imewezesha kiongozi kijana wa wanafunzi Gabriel Boric ambaye ndiye rais kijana kabisa wa kuchaguliwa amezaliwa 11 February 1986 ambaye alichukua madaraka ya urais tarehe 11 March 2022 baada ya kushinda uchaguzi mkuu nchini Chile tarehe 19 December 2021 kwa kupata asilimia 60% ktk uchaguzi wa urais.

Gabriel Boric on the Chilean student movement 14 June 2017
Mwanafunzi wa chuo kikuu Tanzania toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa anaimani na matumaini potofu ya Ilani ya CCM imeandika ahadi ya mambo ya uongo ya kupata ajira, mazingira ruhani kuwa wataweza kupata vyeo vya ulaji vya kisiasa UVCCM, kuwa MNEC Halmashauri Kuu ya CCM, mbunge wa CCM n.k au kuwepo mazingira (hewa) ya kujiajiri.

VIJANA NI WAKATI WA KUACHA KUTEGEMEA CHAMA DOLA KONGWE

Picha maktaba : Vijana chawa wa Vyuo vya elimu ya juu Tanzania.

Vijana vyuo vikuu na mijini pia vijijini badala ya kumezwa na ukiritimba wa UVCCM na ahadi kuwa ni viongozi wa kesho huku watoto wa vigogo wa CCM wanapewa nafasi sasa na siyo kesho wanatakiwa kuunda chombo chao kipya cha kutambulika kama mdau muhimu anayehitaji kuonekana katika majukwaa ya siasa pia ktk vituo vya redio, televisheni na mitandao ya kijamii kuchagiza mabadiliko na mageuzi ikiwemo pia kupewa nafasi nje ya mfumo wa vyama ili wagombee nafasi za kuchaguliwa na wananchi.

VIJANA KULE CHILE BARA LA LATINO AMERIKA WAMEWEZA

Gabriel Boric - The 100 Most Influential People of 2022 - TIME​

time.com › collection › gabriel-boric


23 May 2022 · He is making Chile the social, economic, and political laboratory of the world once again. Stiglitz is a Nobel Prize–winning economist
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Kwa maoni yako CCM wasipofurahi ni kosa la jinai?
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Mtaua wangapi sasa???
Kwamba wanamtandao wakishirikianq na JAKAYA MRISHO KIKWETE Ndiyo waliomuua John Pombe Magufuli ulitaka atumie lugha gani ya staha hapi?
Nenda kwa msajili sas
 
Vijana tuache kutegemea wazee watutetee, huu ni wakati wetu siyo muda wa kutafuta atakaye tukomboa.

Nchi nyingi vimekombolewa kutoka kwa wakoloni au utawala gandamizi kwa vijana kuchukua hatima yao mikononi mwao kwa wakati wao wakiwa vijana

Fidel Castro kiongozi wa mapinduzi ya Cuba mwaka 1959 kwa lugha ya kiingereza akiendelea kufafanua malengo ya mabadiliko yaliyongoa mabwanyenye wahuni


View: https://m.youtube.com/watch?v=QC0lYdqQ4wA
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Ukilewa usichati🍻🍺❌🚫usiandike upuuzi
 
WADANGANYIKA shidaaa! Wasihukumiwe mafisadi, wezi, waongo, walafi, watekaji, wauaji, waiba kura, waroho na wezi wa maliasili na mali ya umma?!
INASIKITISHA SANA SANA!
 
Huyu mtu apatikane ili Sheria uchukue mkondo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…