Ndio shida yao! Ukishazaliwa binadamu ni lazima ukubali kupokea ukosoaji, hata manabii wa Mungu walipitia magumu ili wapate kufanya kazi ya Mungu vyema!Wameziba masikio na kujikuza kupita Jamhuri / Republic na kujivika ufalme / umalkia wakidai ni Mungu ndiyo amewachagua na mbaya zaidi baadhi ya viongozi wa kiroho / imani nao wamehongwa kurudia wimbo ni Mungu ndiyo aliyemsimika kiongozi wa CCM kuwa rais
Angetulia akasoma basi asingeleta utumbo wake huo hapaHuo muda wa kusoma taratibu anao sasa, vile nondo zinawaingia....
Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote
Kwa nini ahukumiwe wakati mnaua watu bila hukumu?1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote
2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Kwanini wewe hujanyongwa mkuu au kuwekewa sumu ukafa?Anyongwe Tu Hadi Kufa. Tumemchoka na Stori zake za kuunga-unga kama Shigongho
Hii ni baada ya kubugia mabakuli yako kadhaa ya urojo! Ukavimbiwa! Baada ya hapo ukaanza sasa kutapika tu hewa chafu mdomoni. Hivi sijui Nyerere aliwaza nini kuungana na vilaza kama nyinyi.1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote
2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Kwani kafanya nini mpaka anyongwe
akinyongwa ndio utaacha kugawa matyako?1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote
2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Nenda kamnyonge sasa.1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote
2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Na wewe tutakunyonga siku sio nyingi.Pole