haka kajamaa bana dah!Yuko live anafafanua harambee ya ccm
View: https://www.youtube.com/live/CFo3acDUdk4?si=5uISdttXG23lexRu
afisa kinyeo wa CCM kitengo cha JF ujambohaka kajamaa bana dah!
eti unaijua V8 wewe?🤣
Yuko live anafafanua harambee ya ccm
View: https://www.youtube.com/live/CFo3acDUdk4?si=5uISdttXG23lexRu
Jamaa anawapiga spana hatarihaka kajamaa bana dah!
eti unaijua V8 wewe?🤣
Na wewe unatuchosha tu na lipole pole lako ..umeanza kumpenda lini ? we jamaa sasa umekuwa mzee wa kuokotezea ushafilisika maskini.Yuko live anafafanua harambee ya ccm
View: https://www.youtube.com/live/CFo3acDUdk4?si=5uISdttXG23lexRu
ndio ushirikina gani huo gentleman?🐒Jamaa anawapiga spana hatari