ARV zinaaminika?
Ngojanwalete za arv atakavyo zibwia pasipo kuwa na uhakika
Kupitia ukurusa wake wa Twitter Humphrey Polepole amepinga chanjo ya Maralia iliyoidhinishwa na WHO kwa kusema kuwa haiaminiki na kuwataka walioitengeneza waseme inafanyaje kazi kwenye miili ya watu.
Chanjo hiyo imekuwa ikifanyiwa utafiti kwa miaka kadhaa na WHO imeshauri nchi zinazokabiliana na ugonjwa huo kuanza kuitumia baada ya kuonyesha mafanikio makubwa katika hatua za majaribio.