Elections 2015 Humphrey Polepole: CCM ilifanya maamuzi ya kiume, Majizi na hasa kubwa lao yakakatwa...


'' Kwa kipindi kirefu Lowassa amekuwa akionekana kama mgonjwa na si siri kuwa amekuwa akipata matibabu katika hospitali za kimataifa nje ya nchi.'' ....
Mh.Mtatiro

'' Unachosahau ni kuwa, CCM ni kiwanda cha kuzalisha MAJIZI NA WEZI na wakiendelea kukaa hukohuko wanakuwa ni balaa na shida kubwa sana.''

Mh. Mtatiro.. mbona mmechagua ''JIZI'' ambalo afya yake mgogoro...?
Hata hivyo..kama CCM ni kiwanda cha kuzalisha majizi basi bidhaa zake nazo hazifai ...na hazitakubaliwa popote Tanzania hii. LOWASSA ni moja ya bidhaa ya kiwanda hiki...Mtatiro..mmechagua bidhaa mbovu.
 
Lowassa ndio shetani mkuu wa ufisadi, wizi na rushwa. Ni mpanga mikakati mzuri wa ufisadi mkubwa mkubwa na mpiga dili asiye na aibu wala huruma kwa watanzania maskini. Ndugu mtanzania ukimnyima kura yako huyu jambazi, umekata mizizi ya ufisadi nchini.
tumkatae.
 
Lowassa ni tunu kutoka kwa Mungu. Ni mkombozi wetu lazima tumpe kura kwa wingi
 

mimi nakuambia kuwa "CCM ndio shetani mkuu wa ufisadi, wizi na rushwa". CCM ni mpanga mikakati mzuri wa ufisadi mkubwa mkubwa na mpiga dili asiye na aibu wala huruma kwa watanzania maskini. ndugu mtanzania ukimnyima kura yako huyu jambazi ( CCM ), umekata mizizi ya ufisadi nchini.
tumkatae@CCM kwa kwa sanduku la kura oct 25.
 
Last edited by a moderator:
Humphrey Polepole awali nilijua ni kijana mwenye ufahamu mkubwa, nilichogundua ni kijana mwenye usanii mkubwa wa kisiasa tena mnafiki asiyejua kujilinda na aibu inayoweza kumpata. Mada zake zote amekuwa akishambulia mtu na kuonyesha chuki zake za wazi kwa Lowasa. Polepole ni mtu anayeamini kuwa "umaskini ni kigezo cha uadilifu" hayo ni mawazo ya kipumbavu, Polepole anakumbuka fadhila za kuteuliwa kuwa mjumbe wa katiba ya wananchi kujaribu kumpendezesha aliyemteua ili pengine kama chama hicho kitaingia madarakani aambulie kitu. Kila mara amekuwa akidai kuwa mafisadi wamekatwa CCM lakini haelezi kama hao waliobaki ccm ni wasafi au la? Mimi nafikiri hata bila kujipendekeza kwa ufahamu alionao anaweza kuutumia kujipatia riziki, hii tabia ya kujaribu kuwa kinyonga ni unafiki mkubwa. Miezi kadhaa iliyopita tulimuona wakifuatana na mzee walioba kila kwenye kongamano kueleza uzuri wa serikali tatu na ubaya wa walioikaata rasimu yao leo hii yuko mstari wa mbele kulamba miguu ya ccm? Kweli umasikini ni utumwa na kudhalilika!!!!!!!
 
Humphrey Polepole awali nilijua ni kijana mwenye ufahamu mkubwa, nilichogundua ni kijana mwenye usanii mkubwa wa kisiasa tena mnafiki asiyejua kujilinda na aibu inayoweza kumpata. Mada zake zote amekuwa akishambulia mtu na kuonyesha chuki zake za wazi kwa Lowasa. Polepole ni mtu anayeamini kuwa "umaskini ni kigezo cha uadilifu" hayo ni mawazo ya kipumbavu, Polepole anakumbuka fadhila za kuteuliwa kuwa mjumbe wa katiba ya wananchi kujaribu kumpendendeza aliyemteua ili pengine kama chama hicho kitaingiia madarakari aambulie kitu. Kila mara amekuwa akidai kuwa mafisadi wamekwata CCM lakini haelezi kama hao waliobaki ccm ni wasafi au la? Mimi nafikiri hata bila kujipendekeza kwa ufahamu alionao anaweza kuutumia kujipatia riziki hii tabia ya kujaribu kuwa kinyonga ni unafiki mkubwa. Miezi kadhaa iliyopita tulimuona wakifuatana na mzee walioba kila kwenye kongamano kueleza uzuri wa serikali tatu na ubaya wa walioikaata rasimu yao leo hii wako mstari wa mbele kulamba miguu ya ccm? Kweli umasikini ni utumwa na kudhalilika!!!!!!!
 
Khaa!! Polepole keep it on hawa nyumbu wamechanganyikiwa
 
polepole hatumii akili anatumia makalio ndio maana anakosa msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…