Humphrey Polepole hatafukuzwa CCM hata aseme matope ya aina yote!

Wakiamua wanajichagulia tu.
1.Tumpe ajali
2.Apigwe sumu
3.Avamiwe na majambazi
4.Tuseme amejinyonga


Naongelea mambo ya huku Cuba nilipo.

Rat race….

In the abundance of water a fool is thirsty…

si ule kwa urefu wa kamba yako Polepole anakusumbua nini…kaongea nini kibaya…
 
Huyo jela inamuita soon, Kuna ufujaji mkubwa wa pesa za chama aliufanya, na ana tuhuma za utakatishaji fedha ( Money laundering)

HIZO Ni tetesi zenye ukweli 100%

Na wewe nasikia uliuza channel ten
 
Sasa mtu kama polepole anamaajabu kwenye hii nchi ...

Mtoto mdogo Sana huyo
 
Unavyomuona si anavyoonwa.
Mwepesi sana huyo, huwezi kumfananisha na wakongwe wa CCM.
 
Sidhani! Kwa nchi hii sema wanamwacha tu,akithubutu kuropoka hayo anayoyajua huenda wanaweza kumpoteteza!
 
Nilicho jifunza kwenye siasa zetu 2015 kupitia Lowasa,hamnaga adui wa kudumu usishangae Makonda akagombea jimbo kupitia chama cha upinzani kinacho mponda.
 
Umeandika utopolo, mfano masha alitoka ccm nae alikuwa mzee, slowslow anaijua ccm kuliko kina lowasa, kina nyalandu wengine wengi?
 
Yaan pole pole awe na madhara kuliko Membe. Bro kuwa serious bas!!!?
 
Kwakweli hakuna mwenye nguvu zaidi ya mwenyekiti wamemwacha tu arukeruke kama maharage aive
 
Nilicho jifunza kwenye siasa zetu 2015 kupitia Lowasa,hamnaga adui wa kudumu usishangae Makonda akagombea jimbo kupitia chama cha upinzani kinacho mponda.
Kabisa kabisa!
 
CCM kama waliweza kumfukuza Lowasa watashindwa kwa polepole?
 
Sema hivi, tunataka tumkuze weeee ili aje awe mpinzani ateuliwe kugombea urais.
 
Rat race….

In the abundance of water a fool is thirsty…

si ule kwa urefu wa kamba yako Polepole anakusumbua nini…kaongea nini kibaya…
Huku Cuba hakuna mtu anaitwa Polepole.
 
Duu we nj hatari. Uliyosemaga ndio yaliyotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…