amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 463
Hatimaye Leo bwana Humphrey Polepole ndo ameyazika au ameyazima rasmi kile alichokiitaga yeye mwanaharakati wa kutetea katiba mpya baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya ndg nape nnauye aliyekuwa katibu wa siasa na unezi wa Chama cha Mapinduzi.
Pole pole ni lazma aingie kwenye harakati mpya sasa ya kukinadi chama na propaganda Kama alivyokuwa ndg Nape Nnauye ambapo sasa hizo harakati za kudai katiba mpya sijui atazisemea wapi ndugu pole pole na sijui na yeye 2020 atakuja na goal la nini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]