amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 463
Subiri uone mchujo wa hao wajumbe 200 watakaoenguliwa NEC, watahakikisha wanabakiza cheerleaders watupu na barabara ya kurejea mfumo wa chama kimoja itakuwa imezinduliwa rasmi! Eh Mungu tenda Miujiza!!!nchi yetu inaelekea wapi...nahisi tunaelekea kwenye nchi ya chama kimoja
Hatimaye Leo bwana Humphrey Polepole ndo ameyazika au ameyazima rasmi kile alichokiitaga yeye mwanaharakati wa kutetea katiba mpya baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya ndg nape nnauye aliyekuwa katibu wa siasa na unezi wa Chama cha Mapinduzi.
Pole pole ni lazma aingie kwenye harakati mpya sasa ya kukinadi chama na propaganda Kama alivyokuwa ndg Nape Nnauye ambapo sasa hizo harakati za kudai katiba mpya sijui atazisemea wapi ndugu pole pole na sijui na yeye 2020 atakuja na goal la nini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Lakini kama tukiwa wakweli katiba mpya ni zaidi ya pole pole n the likeWatanzania kazi sana kukubali mabadiliko,polepole mwishoni wakati wa uchaguzi alidhihirisha njaa yake anahitaji madaraka fulani toka chama tawala sasa nafikiri kesha fanikiwa malengo yake RIP katiba mpya