Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huu ujinga wenu ndio unaendekeza miungu watu, ndio maana siku hizi wanaaanza kauli za "wenye chama chao"Ukiwa na Smarthone yako unaweza ukadhan Polepole ni moja ya Majabali ya Siasa Nchini
Ukizima Simu ukaingia Tandale ukauliza Pole pole ni nani watu wanawez wasielewe unamzungumzia nani na wale wasiomjua ndio hasa Wapiga kura
Uzuri wa Tanganyika wanaofatilia Siasa hawapigi kura na wasiofuatilia ndio Wapiga kura wa kudumu
Yule Zeruzeru aliogombea 'Undugai' aliongea point moja muhimu sana kwangu…Wenye nafasi ya kuzungumza Bongo hawana cha kuzungumza na wasio na nafasi ya kuzungumza ndio wenye cha kuzungumza
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Huu ujinga wenu ndio unaendekeza miungu watu, ndio maana siku hizi wanaaanza kauli za "wenye chama chao"
Polepole, wewe, Makamba na wengine wote ni sawa, muache ujuha wenu wa kuvimbiwa madaraka na kuanza kuwatenga wengine.
Mbona mna roho mbaya nyie. Kamkopo kadogo tu , tubilioni mia mbili kwa ajili ya maji kamefunguliwa nyuzi Mia. Acheni hizo . Mbona nyie mnaikalia nchi yetu kumabavu? Tuachieni basi nchi yetu.Bwana Humphrey Polepole, sasa tunataka kusikia maoni yako kuhusu huu ukopaji wa mikopo kutoka nje huku Zanzibar ikishirikishwa na kupata mgao.
Pamoja na mambo mengine,ulilaumu na kukosoa mawaziri kutosema lolote kuhusu kauli ya Mama kula kwa urefu wa kamba yake, na hapo hapo kumpiga kijembe Mama kwa kauli hiyo. Sasa tunataka kusikia kuhusu hili la Zanzibar kupata mkopo kupitia serikali ya Muungano.
Tunakusubiri ingawa na wewe ulishapoteza credibility.