Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Pale Ruvuma CCM na Wana Mtandao wanajipigia wanavyopenda kwenye madini kuanzia Makaa ya Mawe hadi Uranium.Nashindwa hata kuendelea kuandika lolote katika hili.
Kweli kabisa, Mgodi wenye Uhai wa miaka karibu 400, unauza Asilimia 70 yake Kwa Bilioni 5??.
Alafu kumbe hata hiyo Bilion Tano hajalipa yote, kalipa Bilioni 2, na bado Serikali hailipwi chochote tangu Uchimbaji wake .
INATIA HASIRA .. hivi Hawa Machawa ,wa Mama anaupiga mwingi, wenzetu ni Watanzania kabisa???.
Wanaanzisha Matozo Kila Mahali kumkandamiza Mtanzania, ili hali Pesa ipo tele ?.