Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
amepiga chenga........ kusema mojakwa moja kuwa FOMU MOJA SIO UTAMADUNI WA CCMAkiongea kupitia Facebook, Humphrey Polepole amesema "Hata wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi wa 2020 kuna watu huko kwenye majimbo yao walianza kutaka baadhi ya majimbo fomu iwe moja lakini tulikataa kwasababu ni utaratibu wa Chama Cha Mapinduzi hauruhusu fomu moja"
Ulisema una ujauzito?Sawa kabisa
Kwenye Urais Je?Akiongea kupitia Facebook, Humphrey Polepole amesema "Hata wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi wa 2020 kuna watu huko kwenye majimbo yao walianza kutaka baadhi ya majimbo fomu iwe moja lakini tulikataa kwasababu ni utaratibu wa Chama Cha Mapinduzi hauruhusu fomu moja"
Wahuni Wahuni Wahuni hawataki iwe hivyo kikundi fulani hakitaki iwe hivyo kile kikundi kinachosema Wachawi wote Wameshakufa hawataki iwe hivyoSamia anaogopa nini,Angeacha tu watu wachukue form ndani ya chama achuane nao......kama anapendwa atapita tu
Sio kitchen party ile kudadek watu wanafanya mambo km wanafanya Send Off namaanisha mkutano mkuu sio Send Off au kitchen party mwanetu anaolewa, zipigwe apite mmoja aliechukua fomu sio kumtoa Mwali mmoja na kusema huyu ndio anaolewaamepiga chenga........ kusema mojakwa moja kuwa FOMU MOJA SIO UTAMADUNI WA CCM