Ngoja avune alichokipanda, wao walitengeneza sheria mbovu wakaipa TCRA iisimamie wakidhani kuna siku hawatakuwa wapinzani ndani ya chama tawalaHumphrey na kundi lake la Wana ccm mtandaoni walikuwa wanapeana posho kusaka wanaomkosoa JP na serikali yake, watu wengi waliokamatwa na kushitakiwa ni kazi ya Humphrey na kikosi kazi chake, na aliomba fungu maalum, Leo walewale aliokuwaa awapelekea majina ndio wanamla
N.B: alitishia ma RPC na OCD na wanasheria wa serikali kwamba atawasema kwa baba yake wasipopeleka mashtaka
Mambo zamu zamu. Kama Tawio Adamafio. Mtego alioutengeneza kukamatia watu na yeye ulimnasa. Tena yeye alikuwa wa kwanza.Hahahaha, kama kulia vile, ni kupokezana