HumphreyHumphrey Polepole amefikisha saa 27 tangu adaiwe kutekwa ndo tunamsahau taratibu kama Mdude, why?

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya ndo umeshaakuwa utaratibu wa kawaida sasa watu kupotea ipi solution kama sio IGP Wambura kujiuzulu, na JWTZ kuiingilia kati maana Polisi taarifa zao zinasikitisha nakutia hasira.

Oky Byee...!!!!!!

​
 
Mwafwele amerudishe HP akiwa anapumua
 
No wonder why mambo yanafanyikia huko dar. Watu wa huko sembe inawelegeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…