Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Wanaume wengi tuna insecurities za hali ya juu.... Wanawake wengi wenye watoto ni washkaji wamekataa kuoa baada ya dem kujifungua..nashangaa humu watu wanawaponda sana masingle-mother wkti 60% ni makosa ya mwanaume..Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taïfa
Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material
Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuk.
huko mnaita single mothers, sisi huku tarime tunaita 'waliozalia nyumbani'Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taïfa
Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material
Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuk.
Duu umebadili slogan mkuuTumekusikia lakini kazi ndio kwanza imeanza.
PambanaZaidi/CottonandMore
Dah!, kijana ushakula vya uvunguni mwa single mother, hatuna cha kukushauri tena.Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taïfa
Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material
Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuk.
Waambie pia wasionje nyama hata finyango moja maana watapigwa nusu kuuwawahuko mnaita single mothers, sisi huku tarime tunaita 'waliozalia nyumbani'
sisi huku tarime ukizalia nyumbani yaani kabla hujaolewa unakuwa ume qualify kuolewa second wife na unakuwa ume depreciate na mahari yako inakuwa chini ,hivyo unaweza kuolewa kama mke wa kwanza kwa wale wenye mahari ndogo tu. NB mwenye kutoa mahari ndo mwenye uhalali wa kumiliki watoto
Huku kwetu pia ukitaka uwe na boma kubwa kwa haraka unaoa single mothers wawili chap wenye watoto watatu watatu ,tayari unakuwa na boma lenye watu 9
Wadada kwa anayekusudia kuolewa, ajitunze
Thread tayari, alooo. Umeona single mothers wamepumzishwa umeona ulianzishe kivingine ili mradi wasemwe tu. Janja janja nyingi weweIdadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taïfa
Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material
Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuk.
Mkuu kwa kifupi nazikubali mila nyingi sana za wakurya. Ni black and white, hakuna janja janjahuko mnaita single mothers, sisi huku tarime tunaita 'waliozalia nyumbani'
sisi huku tarime ukizalia nyumbani yaani kabla hujaolewa unakuwa ume qualify kuolewa second wife na unakuwa ume depreciate na mahari yako inakuwa chini ,hivyo unaweza kuolewa kama mke wa kwanza kwa wale wenye mahari ndogo tu. NB mwenye kutoa mahari ndo mwenye uhalali wa kumiliki watoto
Huku kwetu pia ukitaka uwe na boma kubwa kwa haraka unaoa single mothers wawili chap wenye watoto watatu watatu ,tayari unakuwa na boma lenye watu 9
Wadada kwa anayekusudia kuolewa, ajitunze
Mpe biashara mkuu, peleka shule mtoto wake, hutaki pepo mkuuUkiamu kukosa Amani OA single mother, Kuna mmja anatako balaa nimekua week naambiwa nimpeleke kusoma private mwanae.
Halafu yeye nimpe Biashara,nikimpima kichwani naona mdaa wowote anadata kwingine.Nilikataa vyote! Tukaiishia hapo.