Humtaki single mother sawa basi nenda kaoe ambae sio single mother uwache kuwasema vibaya single mother

Tatizo single mother ndio wanajua kuto....na, hawa wengine uzoefu hawana, singe mother wao inakua ni kutiii na kutiiiiaaaanaaa. Hawa ambao sio single mother wao hawashughuliki kabisa. Kama umewahi kupiga masingle mother ukarud Kwa hivi vitoto utaelewa nachosema. Nimtihani kwakwel.
 
Siku hizi single maza ni wengi yaani wanawake wengi 10 basi 2 wao sio single maza.
Wakubali waolewe kama wake wenza......
 
Hapo tuelewane unless kama wewe ni single father.

Kamwe usianze game ikiwa matokeo ni 1-0.

Vijana mnaojitafuta zingatieni ushauri huu.

Uzi tayari.

Ajabu ni kwamba aliyesababisha akawa singo maza ni mwanaume ama kumkimbia au kufariki...
 
Ni kweli mkuu aisee ni mafundi hatari kila kitu ukimwambia kitandan anakufanyia..😄
 
Kwa uelewa wako mke au mchumba wa mtu kuongea ongea na wanaume ni sawa?

Au wewe mume wa mtu kuongea ongea na wanawake Unafikiri ni sawa?
 
Wanazungumzia kuwaoa sio kuwa tia, kutia tia ila oa ambae hajazaa, mzalishe nae atakua kama huyo single maza, la hajawa basi hao single mother ni malaya wana experience ya kucheza viwanja vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…